KLABU ya Liverpool sasa
imethibitisha kuwa ujenzi unaweza kuanza Jumatatu ijayo kupanua Uwanja
wa Anfield mpaka kufikia uwezo wa kuingiza mashabiki 53,500. Kampuni ya
Michezo ya Fenway tayari imeshaandaa mpango huo ambao utagharimu kiasi
cha paundi milioni 114. Uwanja huo ambao kwasasa una uwezo wa kuingiza
mashabiki 45,000 unatarajiwa kuongezwa viti vingine 8,500 katika eneo la
jukwaa kuu. Mpango huo ambao umekuwa ukipangwa kwa kipindi cha miaka,
unatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa msimu wa mwaka 2016-2017.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Ijumaa, 5 Desemba 2014
LIVERPOOL KUANZA UPANUZI WA ANFIELD.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni