Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kumpokea mshambuliaji huyo aliyesota Chelsea na baadaye AC Milan iliyokubalia kumuachia kwa mkopo. Mashabiki hao walikuwa wengi kwenye uwanja wa ndege wakati akiwasili.
Kabla ya kuondoka Atletico na kujiunga na Liverpool, Torres alikuwa nahodha wa klabu hiyo akiwa kinda wa miaka 21 tu.
ENZI HIZO AKIWA ATLETICO... |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni