SHABIKI mmoja amekamatwa
baada ya kumvaa meneja wa Arsenal Arsene Wenger wakati wa mchezo wa
Ligi Kuu mbao wlaifungwa na Southampton kwa mabao 2-0 jana. Shabiki huyo
mwenye umri wa miaka 25 alikuwa akienda kumvaa Wenger mwenye umri wa
miaka 65 lakini alizuiwa na mabaunsa kabla ya polisi wa Hampshire
hawajamata. Taarifa ya klabu ya Southampton imedai kuwa shabiki huyo
alikuwa mshabiki wa Arsenal ambaye alikuwa amekaa jukwaa la mashhabiki
wa nyumbani lakini Wenger anadhani alikuwa mshabiki wa Saints. Tukio
hilo linakuja baada ya Wenger kushambuliwa na mashabiki wa Arsenal
wakati akipanda treni baada ya kipigo dhidi ya Stoke Desemba mwaka
jana. Akihojiwa baada ya tukio hilo Wenger amesema anadhani shabiki huyo
hakuwa na nia ya kumdhuru kwani hakumsikia hata akisema lolote.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Ijumaa, 2 Januari 2015
SHABIKI ALIYETAKA KUMPIGA WENGER ATIWA MBARONI.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni