Manchester United wameshika nafasi ya pili kwa utajiri licha ya kutocheza ligi ya mabingwa
WALIKUWA na msimu mbaya katika ligi ya
England, lakini Manchester United imeshika nafasi ya pili katika orodha
ya klabu tajiri zaidi duniani.
Licha ya kampeni mbaya chini ya David
Moyes aliyechukua mikoba ya Alex Ferguson na kumaliza nafasi ya saba
imezidiwa na Real Madrid pekee.
Klabu hiyo ya Old Trafford imewapindua
miamba ya Ulaya Bayern Munich na Barcelona kufuatia mapato yao kupanda
mpaka paundi milioni 433.2 kutoka paundi milioni 363.2.
KLABU 30 TAJIRI DUNIANI
TOP 30 WEALTHIEST FOOTBALL CLUBS BY REVENUE (FOR 2013-14)
1. Real Madrid - £459.5m
2. Manchester United - £433.2m
3. Bayern Munich - £407.7m
4. Barcelona - £405.2m
5. Paris Saint-Germain - £396.5m
6. Manchester City - £346.5m
7. Chelsea - £324.4m
8. Arsenal - £300.5m
9. Liverpool - £255.8m
10. Juventus - £233.6m
11. Borussia Dortmund - £218.7m
12. AC Milan - £208.8m
13. Tottenham - £180.5m
14. Schalke 04 - £178.9m
15. Atletico Madrid - £142.1m
16. Napoli £137.8m
17. Inter Milan - £137.1m
18. Galatasaray - £135.4m
19. Newcastle United - £129.7m
20. Everton £120.5m
21. West Ham United - £105.3m
22. Aston Villa - £101.9m
23. Marseille - £100m
24. Roma - £97.7m
25. Southampton - £97.3
26. Benfica - £96.6
27. Sunderland - £95.7m
28. Hamburg - £92.2m
29. Swansea City - £90.5m
30. Stoke City - £90.1m
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni