NAHODHA wa klabu ya
Liverpool, Steven Gerrard ametaja uamuzi wake wa kuondoka katika timu
hiyo mwishoni mwa msimu huu kama mgumu kuwahi kufanya katika maisha
yake. Gerrard mwenye umri wa miaka 34 anatarajia kumaliza mkataba wake
katika majira ya kiangazi baada ya kujiunga na klabu hiyo akiwa na miaka
tisa na kufunga mabao 180 katika mechi 695 alizowahi kuichezea
Liverpool. Akihojiwa na wanahabari Gerrard amesema uamuzi huo ni mgumu
kuwahi kufanya katika yake na ambao yeye pamoja na familia yake wamekuwa
wakiuandaa kwa kipindi kirefu. Kiungo huyo aliendelea kudai kuwa
anaweza kuendelea kucheza lakini haitakuwa katika timu ambayo inayoweza
kukutana na Liverpool katika mechi zake. Gerrard anahisishwa na kuhamia
katika Ligi Kuu nchini Marekani-MLS mara baada msimu wao soka Uingereza
utakapomalizika.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Ijumaa, 2 Januari 2015
GERRARD ATANGAZA KUONDOKA LIVERPOOL MWISHONI MWA MSIMU.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni