STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 26 Januari 2015

WAANDISHI WA SOKA ENGLAND WAMPA TUZO DROGBA

Didier Drogba amepewa tuzo ya mchango wake katika soka.

Chama hicho cha FWA kimempa tuzo hiyo Drogba ambaye aliwahi kuitwaa David Beckham na Alex Ferguson.
Drogba amesisitiza aniifurahia tuzo hiyo lakini akasema angependa kubaki Chelsea hata baada ya kustaafu.
Jose Mourinho amesisitiza kuwa bado kuna mambo mengi yanakuja kutoka kwa Didier Drogba katika klabu ya Chelsea na tayari mshambuliaji huyo amesema anataka kubakia Chelsea baada ya msimu huu kumalizika.
Mourinho alisema hayo wakati Drogba anatunukiwa tuzo ya kuwa na mchango wa muda wote katika soka aliyopewa na chama cha waandishi wa habari za michezo.
Hafla hiyo ilifanyika jana jumapili katika Hotel ya Savoy mjini London. 
Mourinho alimsifu Drogba, ambaye alijiunga na Chelsea kwa mara ya kwanza kwa ada ya paundi milioni 24 mwaka 2004 kuwa : "Huyu ni mchezaji mwenye thamani ambayo haijawahi kutokea katika klabu" na amesisitiza nyota huyo mwenye miaka 36 akisema 'Bado hajamaliza"
Drogba, in action against Bradford on Saturday, has been signed by Jose Mourinho on two occasions
Drogba, akiwa kazini dhidi ya Bradford jumamosi iliyopita 
The 36-year-old celebrates scoring against Manchester United at Old Trafford in October last year
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox