Baada ya mechi ya awali kutoka sare kwa 0-0 mahasimu wa jiji la Madrid, Real Madrid na Atletico Madrid wanaenda kuchuana leo kwenye uwanja wa Santiago Bernabéu huku wachambuzi wengi wa soka barani Ulaya wakiipa nafasi kubwa timu ya Atletico Madrid.
Mechi nyingine ya leo kwenye ligi ya mabingwa barani Ulaya ni kati ya Juventus na Monaco. Mechi ya Juventus inaamsha hisia upya hasa baada ya kuona kilichotokea siku ya jana kati ya Bayern Munich na Porto, ushindi wa Juventus wa bao 1-0 dhidi ya Monaco kwenye mechi ya awali baada haitoshi kuiakikishia Juventus ushindi wa hatua ya nusu fainali.
Mechi za leo hatua ya ligi ya mabingwa barani ulaya;
Monaco vs Juventus
Real Madrid vs Atletico Madrid
Monaco vs Juventus
Real Madrid vs Atletico Madrid
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni