Hull City wakiwa nyumbani kwao jana usiku
walikiona cha moto kutoka Kwa Alexis Sanchez aliyefunga magoli mawili
katika ushindi wa 3-1 waliopata Arsenal kwenye mechi ya ligi kuu England
iliyopigwa uwanja wa Kingstone Communications.
Sanchez alifunga magoli yake katika dakika za 28' na 45' wakati goli lingine lilifungwa na Aaron Ramsey katika dakika ya 33'.
Goli la kufutia machozi la Hull City lilifungwa na Stephen Quinn dakika ya 57'.
TAKWIMU ZA MECHI HIYO HIZI HAPA
statistics :
1
shots on target
11
4
shots off target
8
32
possession (%)
68
0
corners
5
4
offsides
1
8
fouls
11
2
yellow cards
0
10
goal kicks
5
3
treatments
4
BAADA YA MATOKEO HAYO MSIMAMO WA EPL UNASOMEKA HIVI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni