STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 12 Mei 2015

ANGALIA UZI MPYA WA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO!

Manchester United wana jezi mpya iliyotengenezwa na Adidas kwa ajili ya msimu ujao.
Kampuni hiyo ya vifaa vya michezo imefikia dili kubwa la jezi na Manchester United ambalo halijawahi kutokea katika historia ya mpira na sasa katika mitandao ya kijamii na Internet kuna tetesi mbalimbali kuhusu jezi mpya za Manchester United zitakazotumiwa msimu wa 2015/2016. 
Kwa mujibu wa  FootyHeadlines.com  wamepambana kuingia uvunguni na kupata picha ya jezi mpya ya Manchester United iliyotengenezwa na wadhamini wake Adidas kwa ajili ya msimu ujao.
Manchester United kwasasa ipo nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu, vinginevyo yatokeo maajabu, wanarudi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao.
Mechi mbili za mwisho za Manchester United ni dhidi ya Arsenal na Hull City.
Jezi yenyewe ni ya njano.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox