Depay alipotembelea Londonjana
Memphis Depay amesema anajiandaa kuwa mchezaji bora wa dunia baada ya kujiunga na Manchester United.
Juma
lililopita, klabu hiyo ya Old Trafford alithibitisha kumnasa nyota huyo
wa kimataifa wa Uholanzi kwa dau la paundi milioni 25.
Depay amesema anataka kufikia kiwango cha Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ili kuwa mchezaji bora wa dunia.
"Naamini naweza kuwa mchezaji bora wa dunia.
Nyota mpya wa Manchester United
Depay, 21, anatarajia kuwa mchezaji wa gharama kubwa kusainiwa na Louis van Gaal majira ya kiangazi mwaka huu
Depay amewasili jana mjini London
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni