JUVENTUS
baada ya kutinga fainali ya Uefa Champions League kwa ushindi wa jumla
wa magoli 3-2 dhidi ya Real Madrid wali-tweet (pichani juu) wakionesha
furaha yao kuelekea mechi ya fainali itayochezwa juni 6 mwaka huu uwanja
wa Berlin'Olympiastadion.
Mechi
ya kwanza uwanja wa Juventus mjini Turin, Juve waliichapa Real Madrid
2-1 na jana usiku Santiago Bernabeu wametoka sare ya 1-1
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni