STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 18 Mei 2015

HIKI NDICHO KIKOSI CHA TAIFA STARS KINACHOANZA LEO DHIDI YA SWAZILAND


Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania kinachoanza usiku wa leo dhidi ya Swaziland hiki hapa: Deo Munishi ‘Dida’, Shomary Kapombe, Oscar Joshua, Salum Mbonde, Aggrey Morris, Erasto Nyoni, Mrisho Ngassa, Mwinyi Kazimoto, John Bocco, Said Ndemla na Simon Msuva.

Wachezaji wa akiba:  Mwadini Ali, Abdi Banda, Mwinyi Hajji Mngwali, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Frank Domayo, Hassan Dilunga, Ibrahim Hajib na Juma Luizio.

Mechi hiyo itaanza saa 1:30 usiku kwa saa za Afrika kusini sawa na saa 2:30 kwa saa Tanzania

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox