MSHAMBULIAJI NUNDA WA LIVERPOOL, STEVEN GERRARD AMEMUANDIKIA BARUA TAMU NAHODHA WAKE STEVEN GERRARD AMBAYE JANA AMEAGWA ANFIELD. GERRARD SASA AMEBAKIZA DAKIKA 90 AMALIZIE MAISHA YAKE KATIKA KLABU HIYO NA BALOTELLI AMEONYESHA PAMOJA NA VITUKO, WAKATI MWINGINE NAYE NI MTU.
LAKINI BAHATI MBAYA SANA KWENYE MECHI YA JANA AMBAYO NI YA MWISHO KWA NAHODHA HUYU AKIWA KWENYE UWANJA WAKE WA NYUMBANI ALISHUHUDIA TIMU YAKE YAKE HIYO PENDWA IKIPOTEZA MCHEZO MBELE YZ WATUKUTU CRYSTAL PALACE KWA KIPIGO CHA MAGOLI 3-1
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni