Mabingwa
wapya wa ligi kuu soka nchini Uingereza, klabu ya Chelsea imeshindwa jaribio la kumsajili mchezaji YOSHINORI MUTO ,
baada ya mchezaji huyo raia wa Japan kuikimbia klabu hiyo yenye maskani yake katika dimba la Stamford Bridge na kuamua
kukataa ofa ya mkataba wa miaka mitano.
Muto mwenye umiri wa miaka 22 sasa yupo mbioni kujiunga na klabu ya Mainz 05 inayoshiriki ligi kuu nchini
ujerumani baada ya kukubaliana ada ya uhamisho ya Euro million 2.16 na klabu yake
ya sasa ya Fc Tokyo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni