STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 13 Juni 2015

ANGALIA WALIOSHINDA TUZO ZA KTMA, ALLY KIBA, JOH MAKIN WAFUNIKA, WASHINDI WOTE WAPO HAPA


Tuzo za Kilimanjaro Music Awards zimefanyika usiku wa jana. Kinara wa Tuzo hizi akiwa ni Ali Kiba aliechukua Tuzo tano, huku mpinzani wake Diamond akichukua tuzo mbili tu.
Ifuatayo ni list ya wasanii walioshinda katika tuzo hizi....
Kikundi bora cha mwaka - Yamoto Band.
Kikundi bora cha Taarab - Jahazi Modern Taarab.
Bendi bora ya mwaka - Fm Academia.
Wimbo bora wa kushirikiana - Mwana Fa Ft Ali Kiba - Kiboko yangu,
Msanii bora anaechipukia - Baraka Da Prince.
Wimbo bora wa mwaka wenye vionjo vya asili - Mrisho mpoto - Waite.
Wimbo bora wa zouk au Rumba - Diamond - Ntampata wapi.
Wimbo bora wa AfroPop - Ali Kiba Mwana.
Video bora ya mwaka - Diamond Mdogo Mdogo.
Mtayarishaji bora wa mwaka bendi - Amoros.
Mtayarishaji bora wa mwaka Taarab - Enrico.
Mtayarishaji bora wa mwaka Bongo Fleva - Nah Reel
Mtunzi bora wa mwaka hip hop - Joh Makini.
Mtunzi bora wa mwaka bendi - Jose Mara.
Mtunzi bora wa mwaka Bongo Fleva - Ali Kiba.
Mtunzi bora wa mwaka taarabu - Mzee Yusuph
Wimbo bora wa Afrika Mashariki - Sauti Sol Sura yako.
Msanii bora wa hip hop - Joh Makini.
Rapa Bora wa mwaka bendi - Ferguson.
Msanii bora wa Reggae and Dance hall - Maua Sama.
Wimbo bora wa Hip Hop - Proffesor Jay Ft Diamond - Kipi Sijasikia.
Wimbo bora wa R&B - Jux Sisikii.

Wimbo bora wa kiswahili bendi - Vijana wa ngwasuma Wale Wale.
Wimbo bora wa mwaka - Ali Kiba Mwana.
Wimbo bora wa Taarabu - Isha Mashauzi - Mapenzi hayana dhamana.
Muimbaji wa kiume bendi - Jose Mara.
Muimbaji bora wa kike Taarabu - Isha Mashauzi.
Muimbaji bora wa kiume Taarabu - Mzee Yusuph.
Muimbaji bora wa kike Bongo Fleva - Vannesa Mdee.
Muimbaji bora wa kiume Bongo Fleva - Ali Kiba.
Mtumbuizaji bora wa kike - Vannesa Mdee
Mtumbuizaji bora kiume - Ali Kiba.


14Jun

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox