STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 3 Juni 2015

CHELSEA YAONGOZA KWA TIMU ZILIZOINGIZA PESA NYINGI EPL, ANGALIA TIMU YAKO NI YANGAPI

DXB2
Takwimu mpya zimetoka zikionyesha club gani imeingiza  kiasi gani kwa msimu uliopita wa 2014/2015.Mpangilio wa table ya ligi haujalishi kwenye swala la kuingiza pesa nyingi. Mfano Manchester united kwenye ligi imekua ya nne lakini kwneye listi ya kuingiza pesa nyingi imekua ya tatu. Liverpool kwenye ligi imekua ya sita lakini kwenye msimamo wa kuingiza pesa imekua ya tano.
Pesa hizi zimetokana haki ya matangazo kwenye TV mbalimbali, Chelsea imeongoza na kuweka rekodi ya £98,999,554.
dxb

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox