STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 13 Juni 2015

MANCHESTER UNITED KUTAFUTA MRITHI WA DAVI DE GEA

Manchester United  wamekubali kumuuza David De Gea na kabla ya kumruhusu kwenda  Real Madrid, wanajipanga kumsajili golikipa wa Atletico Madrid, raia wa Slovenia, Jan Oblak.
Gazeti la AS linadai Oblak ndiye mrithi wa David De Gea na Man United wanataka kukamlisha usajili huo na wameshaanza mawasiliano naye.
Oblak alitua Atletico Madrid msimu uliopita akitokea Benfica na alirithi mikoba ya Thibaut Courtois, ambaye aliondoka kwenda Chelsea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox