STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 13 Juni 2015

FALCAO ANUKIA CHELSEA

Chelsea wanakaribia kufikia makubaliano ya kumsajili kwa mkopo, Radamel Falcao, hii ni kwa mujibu wa wataalamu wa soko la usajili, Gianluca Di Marzio.com.
Kwasasa Mcolombia huyo yupo katika majukumu ya timu ya taifa inayoshiriki michuano ya Copa America na ameonesha nia ya kuendelea kubaki England, licha ya kufanya vibaya akiwa na Manchester United.
Falcao alicheza msimu uliopita Man United kwa mkopo akitokea klabu ya Monaco, lakini baada ya kushindwa kumshawishi Louis van Gaal, United wameamua kuachana na mpango wa kumnunua, hivyo amelazimika kurudi Monaco.
Klabu yake pia haipo katika mazingira ya kumhitaji kutokana na gharama kubwa anazohitaji na wanaweza kumuuza majira ya kiangazi, ila Chelsea wanahitaji kumchukua kwa muda mfupi.

Maoni 1 :

  1. Nakubali matangazo yenu hala xana

    JibuFuta

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox