STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 8 Juni 2015

PLUIJM ATUA KUANZA MAJUKUMU YA KUINOA YANGA







PLUIJM ATUA KUANZA MAJUKUMU YA KUINOA YANGA
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm tayari ameshawasili jijini Dar es Salaam akitokea nchini Ghana alikokuwa kwa mapumziko mara baada ya kumalizika kwa msimu wa ligi kuu Tanzania bara 2014-2015 ambapo alikiongoza kikosi cha wanajangwani kutwaa ubingwa wa ligi.
Pluijm amerejea kuanza majukumu ya kukinoa kikosi cha Yanga kwa ajili ya michuano mbalimbali inayoikabili timu hiyo ikiwa ni pamoja na mashindano ya Kagane Cup, ligi kuu Tanzania bara na ile ya vilabu bingwa barani Afrika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox