

Hiki ndicho kipigo kikubwa kuwahi kutokea kwenye mchezo wa soka upande wa michezo ya mashindano ingawa haitambuliki na Fifa kwa maana Taifa hili si mwanachama wa shirikisho hilo la soka Duniani.
Kumbuka rekodi inayoshikiliwa mpaka sasa kwa mujibu wa Fifa ni ushindi wa goli 31-0 walio upata Australia dhidi ya Samoa kuwania kufudhu kombe la Dunia 2002.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni