Juventus wamefikia makubaliano ya kumsajili kiungo aliyekosa namba darajani kwa mkopo wa muda mrefu
Juan Cuadrado
Cuadrado, aliyesajiliwa na Chelsea januari kwa ada ya paundi milioni 32 akitokea Fiorentina, ameshindwa kuendana na mfumo wa Jose Mourinho na pia safari yake hiyo imechangiwa kwa kiasi kikubwa baada ya Chelsea kumsajili Pedro kutoka Barcelona wiki hii.
The Blues agreed to make the winger available for loan earlier this week after Juve had expressed an interest in bringing him to Turin, and the Colombia international has now accepted the chance to join the Serie A champions for the 2015-16 campaign.
Cuadrado is now expected in Turin in the next four hours in order to complete medical tests before finalising his move.
Mchezaji huyo mwenye miaka 27 huenda akawa ametengeneza mazingira mazuri ya Chelsea ya kupata saini ya Paul Pogba ambaye anawindwa kwa udi na uvumba na timu hiyo ambayo imeanza vibaya kwenye msimu huu wa EPL.





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni