Kinda huyo mwenye kipaji cha hali ya juu tayari alishakuwa kwenye mipango ya Jose Mourinho na alijiunga na kikosi cha Chelsea kwenye ziara ya Pre-season kule Marekani na alionekana kwenye mchezo ambao Chelsea walipambana na Barcelona jijini Washington.
Kenedy atavaa jezi namba 16
We have today completed the signing of Kenedy from Fluminense... che.lc/Xa3NwC #CFC




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni