NYOTA
wa Barcelona, Lionel Messi amempiku hasimu wake mkubwa, Cristiano
Ronaldo na mchezaji mwenzake wa Barca, Luis Suarez katika tuzo ya
Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Ulaya msimu wa 2014-15.
Messi
ameshinda tuzo hiyo mara ya pili katika sherehe zilizofanyika
ukumbi wa Monte Carlo mjini Monaco, Ufaransa jioni hii baada ya kupangwa
kwa ratiba ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mshambuliaji
wa kimataifa wa Ujeruman,i Celia Sasic ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora
wa Kike wa Mwaka Ulaya akiwa tayari ametangaza atastaafu soka tangu
mwezi uliopita.
Sasic amewapiku mchezaji mwenzake wa Ujerumani, Dzsenifer Marozsan na Amandine Henry wa Ufaransa alioingia nao fainali.
Dzsenifer Marozsan akimpongeza Celia Sasic
BEST PLAYER IN EUROPE:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni