Shirikisho la Soka Ulaya (Uefa) liko katika hatua za mwisho kupanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kila
kigogo ameishajua baada ya shughuli hiyo kumalizika muda mchache
uliopita huku matajiri wa soka duniani Real Madrid wakipangwa Kundi A
lenye timu za PSG, Malmo na Shaktar.
Mabingwa
watetezi Barcelona wako kundi E linaloonekana ubwete wakati Manchester
United nayo imepata kundi si gumu lenye timu za PSV na CSKA.
Arsenal wameangukia kundi, Kundi F lenye Bayern Munich, Dinamo Zagreb na Olimpiacos. Na Chelsea wako Kundi G lenye Porto na Dynamo Kiev.
Angalia
makundi hayo nane yenye timu nne kila moja zinazowania kusonga mbele
kwa kuwa kila kundi litatoa timu mbili kutentengeneza 16 bora ambayo
itatoa timu nane zitakazokwenda robo fainali.
KUNDI A
Paris(FRA)
Real Madrid(ESP)
Shakhtar Donetsk(UKR)
Malmo (SWE)
Malmo (SWE)
KUNDI B
PSV(NED)
Man. United(ENG)
CSKA Moskva(RUS)
Wolfsburg (GER)
Wolfsburg (GER)
KUNDI C
Benfica(POR)
Atlético(ESP)
Galatasaray(TUR)
Astana (KAZ)
Astana (KAZ)
KUNDI D
Juventus(ITA)
Man. City(ENG)
Sevilla(ESP)
Monchegladbach (GER)
Monchegladbach (GER)
KUNDI E
Barcelona(ESP)
Leverkusen(GER)
Roma(ITA)
Bate (BLR)
Bate (BLR)
KUNDI F
Bayern(GER)
Arsenal(ENG)
Olympiacos(GRE)
Dinamo Zagreb (CRO)
KUNDI G
Chelsea(ENG)
Porto(POR)
Dynamo Kyiv(UKR)
M. Tel Aviv (ISRAEL)
M. Tel Aviv (ISRAEL)
KUNDI H
Zenit(RUS)
Valencia(ESP)
Lyon(FRA)
Gent (BEL)
Gent (BEL)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni