STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 24 Agosti 2015

LUIS SUAREZ AIKOMBOA BARCELONA, MESSI AKOSA MKWAJU WA PENALTI....


Mabingwa watetezi Barcelona wameanza msimu mpya wa ligi ya Hispania baada ya kuishinda Athletic Bilbao kwa bao moja kwa bila mfungaji akiwa ni Luis Suarez huku pia katika mchezo huo  Muargentina L.Messi akikosa mkwaju wa penalti.




Kikosi cha Athletic Bilbao: Iraizoz, De Marcos, Balenziaga (Boveda, 50), Laporte, Elustondo, Benat, Rico (Ibai, 63), Eraso, Susaeta, Aduriz, Sabin Merino (Gurpegui ,63). 
Subs not used: Herrerin, Viguera, Lekue, Aketxe.
Booked: Elustondo, Eraso.





Kikosi cha Barcelona: Bravo, Alves (Roberto, 19), Mascherano, Vermaelen, Alba, Busquets (Bartra, 68), Rakitic, Iniesta, Suarez, Messi, Rafinha (Sandro, 82). 
Subs not used: Ter Stegen, Munir, Camara, Gumbau.
Booked: Vermaelen, Rakitic, Suarez.
Goal: Suarez, 54.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox