STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 3 Agosti 2015

RAFAEL KUTIMKIA LYON.

RAIS wa klabu ya Lyon, Jean-Michel Aulas amedai kuwa timu hiyo inajipanga kukamilisha uhamisho wa beki wa kulia wa Manchester United Rafael. 

Nyota huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 25, alichezeshwa mara 11 pekee chini ya meneja Louis van Gaal msimu uliopita na hakujumuishwa katika kikosi cha United kilichofanya ziara nchini Marekani mwezi uliopita. 

Rafael sasa amesafiri kuelekea nchini Ufaransa ili kukamilisha uhamisho wake Lyon na Aulas alithibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter. 

Julai mwaka huu wakala wa Rafael alidai kuwa United ilikuwa tayari kumtoa beki huyo kwa klabu ya Benfica ili waweze kumnasa Nicolas Gaitan..

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox