Usain Bolt fainali ya
mita 100 ya mashindano ya IAAF yanayofanyika jijini Beijing, China.
Hata hivyo, amefanikiwa
kushinda kwa tofauti ya sekunde moja tu dhidi ya mpinzani wake Justin Gatlin wa
Marekani.
Bolt ameshinda kwa sekunde 9.79 huku Gatlin akimaliza kwa sekunde 9-80, jambo ambalo ni nadra kwa Bolt anapokuwa mashindanoni.
Pamoja na kushangiliwa
sana, lakini wengi walianza kuingia hofu na kiwango cha Bolt kuwa si kile
kilichozoeleka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni