Mshambuliaji wa Man City, Sergio Aguero amefunga bao tano katika
mechi moja wakati timu yake ikitoka nyuma na kushinda kwa mabao 6-1 dhidi ya
Newcastle.
Kufuatia magoli hayo Aguero amekuwa mchezaji wa tano katika historia ya ligi kuu Uingereza kufunga magoli matano.
Orodha kamili hii hapa;
Andy Cole
4/4/1995
Manchester United 9-0 Ipwich Town.
Alan Shearer
19/9/1999
Newcastle 8-0 Sheffield Wednesday.
Jermain Defoe
22/11/2009
Tottenham 9-1 Wigan.
Dimitar Berbatov
27/11/2010
Manchester United 7-1 Blackburn Rovers.
Sergio Aguero
3/10/2015
Manchester City 6-1 Newcastle United
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni