
Michuano ya CECAFA Chalenji ndio
michuano mikongwe zaidi barani Afrika ambapo jumla ya nchi 12 wanachama
hushirki michuano hiyo iliyofanyika mara ya mwisho mwaka juzi nchini
Kenya na wenyeji kutwaa Ubingwa huo.
Nchi wanachama wa CECAFA ni
Tanzania Bara, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Ethiopia, Eritrea,
Djibouti, Somali, Sudan, Sudan Kusini na Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni