Mazembe wanakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-2 baada ya mchezo wa awali wiki mbili zilizopita walipofungwa 2-1 na bao hilo moja la TP Mazenbe lilifungwa na mtanzania mwingine Thomas Ulimwengu
Fainali za kombe hilo kubwa kabisa barani Afrika kwa ngazi ya vilabu itapigwa tarehe 30 mwezi huu ama tarehe 1 mwezi wa kumi na moja na marudio ya fainali hiyo itapigwa 6-8 mwezi ujao
Team 1 | Agg. | Team 2 | 1st leg | 2nd leg |
---|---|---|---|---|
Al-Merrikh | 2–4 | TP Mazembe | 2–1 | 0–3 |
Al-Hilal | 1–2 | USM Alger |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni