WACHEZAJI WA TAIFA STARS AMBAO WENGI WAO WANAUNGA VIKOSI VIWILI WA KILI STARS NA ZANZIBAR HEREOS.... |
Kilimanjaro Stars
ambayo ni timu ya Tanzania Bara imepangwa kundi A na wenyeji Ethiopia.
Haya ni makundi
ya michuano ya Chalenji itakayofanyika nchini Ethiopia kuanzia Jumamosi Novemba 21.
Tayari katika
mitandao mbalimbali makundi hayo yamekuwa gumzo baada ya kuvuja mtandaoni.
Watanzania
wamekuwa wakijadili kuhusiana na Kili Stars huku wakiamini hata Zanzibar Heroes
nayo ina wakati mgumu katika kundi C.
KUNDI A:
Ethiopia, Zambia,
Tanzania, Somalia
KUNDI B:
Kenya. Uganda,
Burundi. Djibouti
KUNDI C:
Sudan, Rwanda, South Sudan, Zanzibar
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni