STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 4 Novemba 2015

BAYERN YAINYOOSHA ARSENAL,WILLIAN AMKOMBOA MOURINHO,TIZAMA MATOKEO NA MSIMAMO LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA............

UEFA-Champions-League
Usiku wa Jumatano kumepigwa tena mechi nyingine za UEFA Champions League baada ya zile za Jumanne. 


Ilichezwa michezo nane ya makundi na kukamilisha raundi ya nne ya hatua ya makundi huku timu zote zikiwa zinawania nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya 16 bora.


Mechi hizo zimetoa matokeo tofautitofauti huku timu nyingine zikifuzu kucheza hatua ya 16 bora wakati nyingine zikiyaanga rasmi mashindano hayo.


Haya hapa ni matokeo ya mechi zote za UEFA Champions League zilizochezwa usiku wa Jumatano.

Matokeo UEFA Nov 4

 

MSIMAMO WA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA 

ULAYA BAADA YA MECHI ZA JUZI NA JANA

Kundi A



PWDLGFGAGDPts
1Real Madrid431070710
2Paris Saint-Germain42115147
3Shakhtar Donetsk410348-43
4Malmo FF410318-73

Kundi B



PWDLGFGAGDPts
1Manchester United42115417
2PSV42026606
3VfL Wolfsburg42024406
4CSKA Moscow411245-14

Kundi C



PWDLGFGAGDPts
1Benfica43017439
2Atletico de Madrid42117257
3Galatasaray411257-24
4FC Astana402228-62

Kundi D



PWDLGFGAGDPts
1Manchester City43018539
2Juventus42205238
3Sevilla410357-23
4Borussia Monchengladbach402226-42

Kundi E



PWDLGFGAGDPts
1Barcelona431082610
2Roma4121101005
3Bayer 04 Leverkusen4112111014
4BATE Borisov4103411-73

Kundi F



PWDLGFGAGDPts
1FC Bayern Munchen4301133109
2Olympiakos43016609
3Dinamo Zagreb410339-63
4Arsenal4103610-43

Kundi G



PWDLGFGAGDPts
1FC Porto431094510
2Chelsea42117347
3Dynamo Kyiv41215415
4Maccabi Tel Aviv4004111-100

Kundi H



PWDLGFGAGDPts
1Zenit St Petersburg4400104612
2Valencia CF42025506
3KAA Gent411245-14
4Lyon401327-51

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox