Alie kuwa daktari wa klabu ya Chelsea Eva Carneiro alifunga ndoa na Mr De Carteret hapo jana jumatano harusi ikifanyika katika Jiji la London nchini Uingereza.
Moja ya kitu kilicho shangaza wengi ni klabu yake ya zamani alipokuwa anafanya kazi ya Chelsea kutokutoa sapoti yoyote.
Dokta Eva akiwasili kanisani.
Dokta Eva Carneiro na mumewe Jason De Carteret.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni