STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 22 Novemba 2015

MAMBO YA EL CLASICO: RONALDO ANASWA AKIMTWANGA PEPSI DANI ALVES..............



Pamoja na Real Madrid kuchapwa mabao 4-0 na Barcelona lakini nyota wake Cristiano Ronaldo anaweza kuingia matatani kwa kufungiwa mechi kadhaa au kupigwa faini.

Imebainika Ronaldo, alimtwanga kwa kiwiko beki wa wa Barcelona, Dani Alves wakati wa mechi hiyo ya jana kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu.

Lakini inaonekana Ronaldo alikuwa mjanja sana kwani pamoja na kumtwanga Alves, mwamuzi David Fernández Borbalán hakuona na badala yake alimlamba kadi ya njano beki huyo kwamba alimsukuma Ronaldo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox