Baada ya hizo fununu za Mourinho kutimuliwa kumfikia na kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson, amesema yafuatayo
>>> ‘Tajiri wa Chelsea amefukuza makocha wengi sana ndani ya miaka kumi iliyopita na nina uhakika amejifunza kwa kipindi hicho’
Ferguson anaendelea kwa kusema
‘Anatakiwa kujua hiki ni kipindi cha mpito tu kinapita na awe na imani na Mourinho kwamba atakaa sawa tu, hainishawishi kumfukuza kazi mmoja wa makocha bora wa wakati wote..
ameshinda makombe ya Ulaya mara mbili, ameshinda ligi kwenye kila nchi alikofundisha timu, itakua ni ujinga kumfukuza Mourinho kazi, itaonyesha kabisa wewe ni bosi mbovu usiejua nini cha kufanya’
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni