STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 4 Desemba 2015

LA-LIGA KUTANGAZWA KWA KISWAHILI................

la liga 
Dstv Tanzania inaendelea kuleta huduma mpya kwa wateja wake kama ilivyo kawaida yake. 

Hivi sasa wameanzisha huduma mpya ambapo mechi za La Liga zitaonyeshwa Live na watangazaji watakua wanatangaza kwa kutumia lugha ya kiswahili.

Kama lugha ilikua tatizo wakati una enjoy mechi basi usiwe na wasiwasi tena kwasababu Dstv wameshamaliza hilo swala. 

Lugha ya taifa sasa itatumika kutangaza mechi za La Liga.

Hizi hapa ni baadhi ya mechi ambazo zitaanza kutangazwa kwa lugha ya kiswahili kuanzia Jumamosi tarehe 5/12/2015

Saturday 05/11
Real Madrid vs Getafe
Ch – SS7



Valencia vs Barcelona
Channels – SS5A



Sunday 06/11
Villareal vs Rayo Valleccano
Channels – SS5A

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox