Watu wengi wanatumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuwa na marafiki sehemu mbalimbali za Dunia kwa ukaribu zaidi.
Moja kati ya wachambuzi mahili wanaokuja kwa kasi ambae yupo mkoani Morogoro katika kituo cha Planet Fm-87.9 Mr'Choi ameamua kufungua ukurasa wake wa Facebook na hii ni baada ya wadau wengi kuhoji kwa nini hana akaunti ya Facebook yenye utambulisho wa jina lake.
Baada ya kufanya utafiti mfupi ikagundulika Mr'Choi si mtu wa mitandaoni sana na hii ni kutokana na ubize wake na sehemu pekee ambayo huchati sana ni katika mtandao wa Whats up.
Alinukuliwa akisema alishakuwa na akaunti mbili za Facebook lakini moja bado iko hai na imekuwa ikihusika na maswala ya page yake ya "Mbwembwe Dimbani" kwa maana hiyo kwa mdau kufanya nae mawasiliano ya moja kwa moja ni vigumu sana kwa maana si yeye pekee hutumia, lakini akaunti nyingine anadai ilichezewa na hivyo haifanyi kazi kwa sasa na ameamua kutoitumia.
Hivyo anakukalibisha katika ukurasa wake ambao utakuwa na fursa ya kubadilishana ujuzi wa aina mbalimbali.
MTANDAO WA FACEBOOK;
-Choi de Stephan
MTANDAO WA WHATS UP;
-0629-791599
Amesisitiza katika upande wa hiyo namba ya whats up mwanamichezo atakuwa anapata fursa ya kupata audio zake za kimichezo almarufu kama SPORTS DETAILS ambazo huelezea rekodi mbalimbali za kimichezo ulimwenguni pia kujuzana mengi ya michezo bila kusahau maswala ya ndondo kama kawaida yake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni