Ligi kuu ya nchini Uingereza imeendelea tena siku ya leo jumamosi ya Boxing day na miongoni mwa michezo ambayo imefuatiliwa na mashabiki wengi ni mchezo wa Stoke City dhidi ya Manchester United katika uwanja wa Britania.

kocha wa manchester united louis Van Gaal
Manchester United wakiwa katika kiwango kibovu kabisa huku kocha wao muholanzi Louis Van Gaal akiwa njia panda kuendelea kuifunza timu hiyo kutokana na matokeo mabovu wanayopata licha ya kufanya usajili mkubwa wamejikuta wakipoteza kwa kufungwa 2-0.
Goli la kwanza la Stoke lilifungwa na Bojana baada ya kazi nzuri ya Glen Johnson mnamo dakika ya 19
Na baadae Marko Arnautovic akapachika la pili dakika ya 26
Mashabiki wa Stoke City wakimkejeli Louis Van Gaal
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni