STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 9 Desemba 2015

VAN GAAL: MANCHESTER YA SASA NI NZURI KULIKO ILIYOPITA


MENEJA wa Manchester United, Louis van Gaal amesisitiza kikosi chake kimeonyesha dalili za kuimarika msimu huu pamoja na kutolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. 
 
United walishindwa kufuzu hatua ya timu 16 bora baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Wolfsburg ya Ujerumani jana. 
 
Akihojiwa Van Gaal amesema kwasasa hawezi kujitetea kwasababu wametolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya lakini ukweli ni kuwa wako vizuri kuliko ilivyokuwa mwaka uliopita. 
 
United iko katika nafasi ya nne katika Ligi Kuu, wakiwa walimaliza katika nafasi kama hiyo katika msimu wa kwanza wa Van Gaal. United sasa imeangukia katika michuano ya Europa League.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox