STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 10 Februari 2016

CRISTIANO RONALDO KUIKACHA TIMU YA TAIFA MWAKA HUU..........................


 


Nahodha wa Timu ya taifa ya Ureno na nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesema fainali za kombe la dunia za mwaka 2022 zitakazofanyika Qatar ndio zitakuwa za mwisho kwake katika ngazi ya timu ya taifa.
Ronaldo19 
Kiwango cha Ronaldo Real Madrid msimu huu kimekuwa kikizua maswali mengi kwa siku za hivi karibuni ikiwa ni pamoja na kucheza kwa kiwango kibovu katika mechio ya ugenini dhidi ya Granada, ikumbukwe kuwa Ronaldo hajafunga goli nje na Santiago Bernabeu tangu October mwaka jana.

 


Nyota huyo wa zamani wa Manchester United alipuuzia taarifa za uvumi kuwa atatimka Real Madrid mwisho wa msimu huu na kuthibitisha kuwa lengo lake ni kuhahkikisha anamaliza mkataba wake wa sasa na Madrid ambao unamalizika mwaka 2018.


 



Akiongea na mtandao wa beIN Sports Ronaldo aliulizwa kuhusu maoni yake juu ya fainali za kombe la dunia zitakazofanyika Qatar mwaka 2022.
 


“Vizuri sana kwa upande wangu,” alisema Ronaldo. Natarajia Qatar ndio zitakuwa fainali zangu za mwisho za kombe la dunia. Huwa naenda kwa mapumziko ya likizo kule mara kwa mara, Qatar pamoja na Dubai. Nina furaha kwa sababu kiukweli yatakuwa ndiyo mashindano yangu ya mwisho.
 



Ronaldo amefunga magoli 30 mpaka sasa katika mashindano yote, lakini yaliyo mengi ni dhidi ya timu dhaifu katika La Liga na klabu bingwa Ulaya, huku akishindwa kufunga dhidi ya Paris Saint -Germain Ulaya na akishindwa kufunga katika timu sita bora za La Liga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox