STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 14 Februari 2016

DYLAN KERR KOCHA WA SIMBA ZAMANI, ATUA MANCHESTER CITY..................,

 
 
Kocha aliyetupiwa virago Simba, Dylan Kerr ameibukia katika klabu ya Manchester City.

 
Kerr ametupia picha mtandaoni akiwa katika ofisi za klabu ya Manchester City pamoja na uwanja wa klabu hiyo wa Etihad.
 

 
Hata hivyo haikujulikana mara moja, alikuwa amefika kwenye ofisi za klabu hiyo huku akionekana na baadhi ya maofisa wa Man City kwa sababu zipi.

Juhudi za kumsaka Kerr hazijafanikiwa, lakini tunaendelea kumsaka ili kujua alikuwa katika matembezi ya kawaida tu au kuna jambo.

 
Kerr aliondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na Jackson Mayanja raia wa Uganda ambaye ameshinda mechi saba mfululizo tokea hapo. Sita za Ligi Kuu Bara na moja ya Kombe la Shiriksho.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox