Kutokana na wimbi la mastaa wengi barani Ulaya kukimbnilia ligi kuu ya nchini China haili hiyo inaonesha kutishia mustakabali wa vilabu vikubwa barani Ulaya kutokana na wachezaji wengi kuvutiwa na maendeleo na kukua kwa ligi hiyo lakini kubwa zaidi ikiwa ni mikataba minono wanayopewa wachezaji hao
Ilikuwa ni desturi kuwa mchezaji nyota barani Ulaya akienda Ligi inayokuwa kama ya China basi anakwenda kumnalizia soka lake lakini hali imekuwa tofauti kwa sasa kwani ligi hiyo inavutia nyota wengi ambao wapo katika ubora wao wa hali ya juu.
Jackson Martinez £32million to Guangzhou Evergrande
Ramires
JACKSON MARTINEZ
Demba Ba,
Paulinho
Asamoah Gyan (centre)
Hivi karibuni nyota wa zamani wa Fc Porto na Atletico Madrid Jacksom
Martinez amejiunga na klabu ya Guangzhou Evergrande kwa dau lililovunja
rekodi katika Ligi hiyo.
Lakini kuna nyota wengine wengi tu ambao wamejiunga na ligi hiyo huku wakiwa na uwezo mkubwa kabisa wa kucheza katika vilabu vikubwa barani Ulaya, nyota hao ni kama Paulinho, Asamoah Gian, Ramires, Demba Aboubakar BA, nyota wa zamani wa Everton Tim Cahill, Gervinho pamoja na Mohamed Sissoko

Gervinho
Robinho (left)
TIM CAHILL
Fredy Guarin
kuna taarifa ambazo zinazagaa katika mitandao mbalimbali nchini Uingereza kuwa kuna uwezekano wa nahodha wa Chelsea John Tery akafuata nyayo za mchezaji mwenzie wa zamani Mbrazil Ramires na kutimkia katika ligi kuu nchini China.
Stephane Mbia
Ibrahima Toure,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni