Man
United vipi tena, haina makali, si kali na wala haitishi.
imetandikwa mabao 2-1 katika mechi ya Kombe la Europa Cup dhidi ya FC
Midtjylland ya nchini Denmark.
Pamoja
na kwamba ilikuwa ugenini, Man United ilikuwa ikipewa nafasi ya
kushinda dhidi ya timu hiyo ndogo. Lakini imefungwa mabao hayo 2-1
pamoja na mshambuliaji wake Memphis Depay kufunga bao moja.
FC
Midtjylland (4-4-2): Andersen, Romer, Bodurov, Hansen, Novak, Sparv,
Sisto, Olsson, Hassan (Urena 66), Kadlec (Royer 80), Pusic (Onuachuat
60)
Subs not used: Dahlin, Duelund, Banggaard Jensen, Bak Nielsen
Scorers: Sisto 44, Onuachu 77
(4-3-3): Romero, Love, McNair, Smalling, Blind, Carrick, Herrera
(Schneiderlin 72), Lingard, Mata (Pereira 78), Depay, Martial
Subs not used: Poole, Weir, Keane, Riley
Booked: Love, Lingard, Smalling
Scorers: Depay 37
Referee: Artur Dias Soares
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni