Magoli ya Leicester yamefungwa na beki wa zamani wa Chelsea Robert Huth aliyefunga magoli mawili na Mahrez amwefunga bao moja, Sergio Kun Aguero amefunga bao la kufutia machozi kwenye dakika ya 86 ya mchezo huo.
Kwa matokeo hayo Leicester City sasawamezidi kutanua wigo wa pointi kilele kwa kufikisha alama 53 wakifuatiwa na Man City yenye alama 47
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni