Imeripotiwa Mwargentina huyo amempiku Cristiano
Ronaldo kuipata Ferrari 335 S Spider Scaglietti ya 1957 - Ametupia mambo
kwenye Instagram.
Mapema juma hili, ilidaiwa kuwa nyota huyo wa Barcelona ana dau kubwa kwenye mnada kwa ajili ya Ferrari 335 S Spider Scaglietti ya 1957, ambayo ilikuwa ikiendeshwa na Sterling Moss kwenye Mashindano ya Tuzo kubwa za Cuba "Cuban Grand Prix" ya mwaka 1958.
Zabuni zilianzia euro milioni 20 na kuishia euro milioni 32 - na kabla ya mshindi kutajwa, ilidaiwa kuwa Messi ndiye aliyekuwa mnunuzi.
Imeripotiwa kuwa Mwargentina huyo alimpiku Cristiano Ronaldo kuchukua gari hiyo aina ya FerrariThe Argentine also reportedly outbid Cristiano Ronaldo for the Ferrari - ingawa inaonekana kama amejinadi sana kwenye mtandao wa Instagram...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni