ANGALIA USAJILI WA LIGI KUBWA TANO ULAYA .
Usajili
wa kimataifa, fedha huhitajika kwa wingi. Ligi kubwa tano barani Ulaya
wakati wa usajili wa kipindi cha baridi kwa mwaka 2016, inaonekana
matumizi ya fedha yalishuka kwa asilimia 26.
Asilimia
26 imeshuka ukilinganisha msimu uliopita. Hii ni kwa mujibu data
zilizotolewa na body ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Ligi Kubwa za Ulaya ni England, Hispania, Ujerumani, Italia na Ufaransa.
Kati
ya Janauar Mosi hadj Februari Mosi, jumla klabu kubwa kutoka katika
ligi hizo zimetumia kitita cha pauni million 246, hii imeonekana katika
mtandao wa uhamisho wa kimataifa (TMS) unaomilikiwa na Fifa.
Hata
hivyo, klabu za Premier League ya England ndiyo zinaonekana zimetumia
fedha nyingi zaidi ambazo ni pauni million 126, manna take pauni million
120 zilizobaki, zimetumika katika ligi nyingine nne.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni