STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 2 Machi 2016

ARSENAL CHALI, SPURS WAKIONA CHA MOTO,MILNER AWEKA REKODI MCHEZO DHIDI YA MANCHESTER CITY...........

 Arsenal left back Nacho Monreal found it difficult to contain his emotion after being involved in his side's 2-1 home defeat

Baada ya mechi za jana usiku za ligi kuu ya England, hatimaye zimebaki takribani mechi 10 kabla ligi hiyo kumalizika, na hali inaonyesha inazidi kuwa mbaya kwa vigogo wa ligi.

Arsenal manager Arsene Wenger looks to the stands before Wednesday night's game at the Emirates against Swansea City  Hii imekuja baada ya klabu ya Arsenal na wapinzani wao wa London ya kaskazini Tottenham Hotspur wote kupigwa katika mechi za usiku wa kuamkia leo huko England.

Arsenal baada ya kunyooshwa na Manchester United wikiendi iliyopita leo waliwakaribisha Swansea ambao nao wamekuwa na mfululizo wa matokeo mabovu.

Joel Campbell alianza kuifungia Gunners goli la mapema dakika ya 15 ya kipindi cha kwanza, lakini goli hilo likadumu kwa dakika 17 na Routledge akaisawazishia Swansea na timu zikaenda mapumziko 1-1.
 
 
Kipindi cha pili Arsenal wakaendelea kupelekeshwa na Swansea na dakika ya 74, nahodha wa Swansea Ashley Williams akaifungia timu yake goli la ushindi katika dimba la Emirates.

Umbali kidogo kutoka kwenye uwanja wa Emirates, pale Upton Park, West Ham ambao nao wanaisaka nafasi ya 4 wakiwa nyuma na Man United, walifanikiwa kuisimamisha Tottenham wanaoshika nafasi ya pili kwenye ligi. 

 West Ham forward Michail Antonio (left) sprints towards provider Dimitri Payet after nodding West Ham ahead against Tottenham

Goli pekee la Antonio dakika ya 7 ya mchezo lilitosha kuwapa ushindi muhimu vijana wa Slaven Bilic mbele ya kikosi cha Pochettino.
 
Kwa matokeo hayo ya vigogo vya London, Spurs na Arsenal wamepoteza nafasi ya kuisogelea Leceister City kileleni baada ya jana ‘Mbwa Mwitu’ kutoka sare ya 2-2 na West Brom.

Leceister anaendelea kuongoza ligi hiyo akiwa na pointi 57, Spurs anamfuatia akiwa na pointi 54, Gunners wanashika nafasi ya 3 wakiwa na pointi 51.


Klopp (left) shares a joke with Man City boss Manuel Pellegrini as Liverpool seeked revenge against the Capital One Cup winners

 TIMU ya Liverpool imeichapa mabao 3-0 Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Anfiled.
 
Ushindi huo ni sawa na kisasi cha kufungwa kwa penalti 3-1 katika fainali ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup Februari 28, Uwanja wa Wembley baada ya sare ya 1-1.

 
 

Katika mchezo wa leo, mabao ya Liverpool yamefungwa na Adam Lallana dakika ya 34, James Milner dakika ya 41 na Roberto Firmino dakika ya 57.

  REKODI YA MILNER ALIO IWEKA YA KUFUNGA GOLI LA 1500 LA LIVERPOOL KATIKA LIGI KUU;

 








Mata celebrates with team-mates after United took advantage of defeats to Manchester City, Arsenal and Tottenham





 Mchezo mwingine wa Ligi Kuu ya England usiku huu, Manchester United imeendeleza wimbi la ushindi baada ya kuifunga 1-0 Watford, bao pekee la Juan Mata dakika ya 83 Uwanja wa Old Trafford. 
  Arsenal imefungwa 2-1 nyumbani na Swansea City Uwanja wa Emirates katika mchezo mwigine wa ligi hiyo. 
 Mata, the oldest member of Manchester United's team on Wednesday, stepped up to settle the game with a late free-kick

Mabao ya Swansea yamefungwa na Wayne Routledge dakika ya 32 na Ashley Williams dakika ya 74, wakati la Gunners limefungwa na Joel Campbell dakika ya 15.
 The breakthrough finally arrived as Xherdan Shaqiri came up with the goods as he let fly from 25-yards past a stranded Rob Elliot
 Stoke City imeilaza 1-0 Newcastle United, bao pekee la Xherdan Shaqiri dakika y 80 Uwanja wa Britannia.

                    MSIMAMO WA EPL MPAKA SASA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox