Wachezaji
wa Arsenal, Olivier Giroud (katikati) na Mesut Ozil (kushoto) wakiwa
wanyonge wakati wa kuanzisha mchezo baada ya kufungwa bao dhidi ya
Watford katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England jioni ya leo
Uwanja wa Emirates, London wakilala 2-1 na kutolewa. Mabao ya Watford yamefungwa na Odion Ighalo na Adlene Guedioura, wakati la Arsenal waliokuwa wanashikilia Kombe la FA limefungwa na Danny Welbeck





Hakuna maoni:
Chapisha Maoni