STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 6 Mei 2016

NGOMA NZITO LIVERPOOL DHIDI YA SEVILLA WOTE HAWAJAWAHI POTEZA FAINAL YA EUROPA..............

 Before the game Liverpool fans paid tribute to the 96 victims of the Hillsborough disaster following last week's inquest verdict

Jurgen Klopp amefanikiwa kufikisha Liverpool kwenye hatua ya fainali ya Europa League kwenye msimu wake wa kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo baada ya kuifunga Villarreal kwenye mchezo wa maruadiano wa nusu fainali.

 Villarreal captain Bruno Soriano can only turn Roberto Firmino's cross into his own net under pressure from Daniel Sturridge

Akipoteza kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa ugenini, Liverpool walianza kupata matumaini kwenye mchezo wa Alhamisi usiku baada ya Bruno Soriano kujifunga na kufanya matokeo ya jumla kuwa 1-1.

 Sturridge's delight was clear to see as his calm finish sparked wild celebrations at Anfield and put Liverpool on the brink of the final

Daniel Sturridge akamalizia kazi nzuri ya Roberto Firmino baada ya mchezaji wa Villareal Victor Ruiz kutolewa kwa kadi nyekundu, Adam Lallana alipigilia msumari wa mwisho kwa kufunga bao la tatu usiku wa Alhamisi na kufanya mambo kuwa 3-0 huku matokeo ya jumla (aggregate) yakiwa ni Liverpool 3-1Villarreal.

 Victor Ruiz is shown a red card for two bookings, as Villarreal wilted under the high pressure play of Klopp's side 

Klopp ambaye alichukua timu hiyo kutoka kwa Brendan Rodgers mwezi Oktoba mwaka jana ameshaifikisha Liverpool katika fainali mbili huku ya kwanza ikiwa katika kombe la ligi ambapo walipoteza dhidi ya Manchester City. Kwa matokeo hayo watakutana katika fainali na mabingwa watetezi Sevilla mjini Basel Mei 18 jumatano katika uwanja St Jakob-Park Stadium, Basle .


 Lallana is joined by Dejan Lovren as he celebrates the third goal that took the tie out of the reach of the Spanish side

Sevilla walifika fainali kwa kuwacharaza Shakhtar Donetsk kwa matokeo ya jumla ya 5-3.

Players from both sides react after the final whistle confirms Sevilla's place in the Europa League final at the expense of Shakhtar Donetsk

Mambo muhimu kufahamu
  • Liverpool ilishindwa kufunga goli kwenye mchezo mmoja kati ya michezo 21 ya Europa League (Liverpool 0-0 Braga mwezi December 2010)
  • Daniel Sturridge amefunga kwenye mechi nne kati ya tano zilizopita alizocheza kwenye uwanja wa Anfield kwenye mashindano yote.
  • James Milner ndiye mchezaji mwenye assists nyingi (14) ndani ya Liverpool msimu huu akifuatiwa na Roberto Firmino (9)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox