STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 5 Mei 2016

WACHEZAJI LEICESTER CITY KUZAWADIA BENZ ZA UMEME..........


Wachezaji wa klabu ya Leicester City ambao wameisaidia klabu hiyo kuingia katika historia isiyofutika ya kutwaa taji la Ligi Kuu Uingereza kwa mara kwanza toka ianzishwe miaka 132 iliyopita, tayari wameanza kupokea zawadi za pongezi kwa kuweka rekodi hiyo, lakini kubwa ni bilionea Vichai Srivaddhanaprabha kutangaza kuwapa zawadi ya Mercedes B-Class Electric Drive.

9266582012-Mercedes-Benz-B-Class-Electric-Drive-Concept-Interior-Front

Mercedes B-Class Electric Drive ni gari ya umeme yenye thamani ya pound 32,670 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 100 za kitanzania, kiasi ambacho kwa wachezaji 30 watakuwa wamemgharimu Vichai Srivaddhanaprabha pound milioni 1 ambazo ni zaidi ya bilioni 3 za kibongo.

2012-Mercedes-Benz-B-Class-Electric-Drive-Concept-Front-3-4-Left

Hata hivyo kabla ya kutangaza kutoa zawadi hiyo Vichai Srivaddhanaprabha aliwahaidi wachezaji wa Leicester City kwenda kuenjoy kwapamoja baada ya kuweka historia ya kutwaa taji hilo Las Vegas Marekani, gharama zote akizigharamia yeye.

2014-Mercedes-Benz-B-Class-Electric-Drive-charge-door-open
2015-mercedes-benz-b-class-electric-drive_100465354_l
2014-mercedes-benz-b-class-electric-drive-interior-rearseat-saddle
33CB8D0300000578-3574048-image-m-4_1462397114208

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox